Tamba - Mbosso

Tamba - Mbosso

Год
2020
Язык
`Swahili`
Длительность
239050

Di seguito il testo della canzone Tamba , artista - Mbosso con traduzione

Testo " Tamba "

Testo originale con traduzione

Tamba

Mbosso

Pasha maji weka moto' tandika jamvi naja nyumbani

Nimekuletea zawadi, kijora cha mkopo' futa la nazi ujipare, honey

Na vijisabuni vya magadi'

Nguru usimtoe chumvi ndio ladha yake

Muunge tu' nipe na chuzi na nyama yake

Eh'

Kula ya mbuzi ni kamba yake (Oh oo…)

Ye king’amuzi mi dishi lake

Hook:

Fungeni maturubahi (Mkeshe mkisema!)

Wala hamtupi shida (Mkeshe mkisema!)

Ndo kwanza tunajidai (Mkeshe mkisema!)

Kama afisa wa NIDA

Ooh.ohho…

Hook:

Tena' Daktari nimekuja na tiba sindano (Leta nchomeke!)

Chunga kibinda mwali napita kwenye mabano (Leta nchomeke!)

Nipo ngagari tayari kwa mapambano (Leta nchomeke!)

Chai yaanguka Asas leo mambo msuguano (Leta nchomeke!)

Tamba…

Tamba…

Nakupa uwanja tamba

Tamba…

Tamba…

Warushe warushike roho zao

Tamba…

Tamba…

Wasokujua wakujue leo

Tamba…

Tamba…

Tamba mama lao…

Nitalinda benki kwa rungu' niaminie

Taka langu Mwana mvungu' nainama mie

Wavunje nazi na nyungu' wajifushie

Oh my wangu atulinde atulinde Mungu' yasitufikie

Nilishakumbwa na tsunami' la mapenzi nikalia, na amani kwako sasa

Penzi si la unyang’anyi' peke yangu najilia na shiba na kusaza

Naka T. V kangu kana waka kuzima' Nikupe

Naka simu kangu japo cha mchina' Nikupe

Shika na moyo wangu nenda nao mazima' Nikupe

Tuzaliwe Makkah tufie Madinah' Nikupe

Hook:

Fungeni maturubahi (Mkeshe mkisema!)

Wala hamtupi shida (Mkeshe mkisema!)

Ndo kwanza tunajidai (Mkeshe mkisema!)

Kama afisa wa NIDA

Ooh… ohho…

Hook:

Tena' Daktari nimekuja na tiba sindano (Leta nchomeke!)

Chunga kibinda mwali napita kwenye mabano (Leta nchomeke!)

Nipo ngagari tayari kwa mapambano (Leta nchomeke!)

Chai yaanguka Asas leo mambo msuguano (Leta nchomeke!)

Tamba…

Tamba…

Nakupa uwanja tamba

Tamba…

Tamba…

Warushe warushike roho zao

Tamba…

Tamba…

Wasokujua wakujue leo

Tamba…

Tamba…

Tamba mama lao…

Wasafi…

Hook:

Nishalinoa panga' porini kukata mua

Mwana kaza kitanda' usiku kuneng’emua

Nishalinoa panga' porini kukata mua

Mwana kaza kitanda' usiku kuneng’emua

Uu yeah yeah…

Uu yeah yeah yeah…

Nishalinoa panga' porini kukata mua

Nishalinoa panga' porini kukata mua*

Aiyo aiyo aiyo yo aiyo…

La la la, la la la, la la la…

La la la, la la la, la la la…

Aiyo, Laizer

Oltre 2 milioni di testi

Canzoni in diverse lingue

Traduzioni

Traduzioni di alta qualità in tutte le lingue

Ricerca rapida

Trova i testi che ti servono in pochi secondi