Kitu Kizito - Rayvanny

Kitu Kizito - Rayvanny

Год
2023
Язык
`Swahili`
Длительность
221890

Di seguito il testo della canzone Kitu Kizito , artista - Rayvanny con traduzione

Testo " Kitu Kizito "

Testo originale con traduzione

Kitu Kizito

Rayvanny

We misso missondo\nUmepigaje hapo\nHatukupenda kua single\nChui!\nHatukupenda kulewa kila siku\nHatukupenda watuite malaya\nHatukupenda ila ilitokea tulipigwa na kitu kizito\nKitu kizito\nKitu kizito\nKitu kizito\nHata kama unapendwa acha kuringa\nKisa kakuposti umeshaanza kuvimba\nMapenzi yana wiki tu umesha beba na mimba\nKuna kitu kizito\nKitu kizito\nUtapigwa na kitu kizito\nKitu kizito\nMisso missondo una hatari ntakupa dada\nTumetoka mbali\nTumemfata DJ\nTumetoka mbali sana\nTumemfata DJ\nTumetoka mbali\nTumemfata DJ\nTumetoka mbali sana\nTumemfata na chui\nWe! We una hatari\nWe! We una hatari wewe\nWe! We una hatari\nWe! We una hatari wewe\nAi mama!\nWe DJ\nAi mama!\nWe DJ\nOna toto ilo\nNi wewe tu\nSijui unafeli wapi?\nNi wewe tu\nAkigeuka ndo bala!\nNi wewe tu\nBaaria unakwama wapi?\nNi wewe tu\nHaunogi\nHuu mziki bila kulewa\nHaunogi\nHuu mziki bila mademu jamani\nHaunogi\nHuu mziki bila kumoka\nHaunogi\nHaya masela waonyeshe tunachezaje hapo\nDigi, digi, digi, digi, digi, dindi\nDugu, dugu, dugu, dugu, dugu, dundu\nDigi, digi, digi, digi, digi, dindi\nDugu, dugu, dugu, dugu, dugu, dundu\nDigi, digi, digi, digi, digi, dindi\nDugu, dugu, dugu, dugu, dugu, dundu\nWe misso missondo umepigaje hapoo?\nWe misso missondo\nWe misso missondo\nWe, we, we\nUmepigaje hapoo?\nUchawi upo jamani\nUchawi upo\nHivi ilikuaje mikanasa kwa kile kituko\nPenzi lilikua na gundu\nLenye misukosuko\nKwanza ananuka shombo\nMwana izaya akwende uko\nIla huyu wasasa jama\nMpeni maua yake\nAnajua kuni petipeti\nMpeni maua yake\nIla huyu wasasa jama\nMpeni maua yake\nAnajua kuni honga honga\nMpeni maua yake\nSoundboy

Oltre 2 milioni di testi

Canzoni in diverse lingue

Traduzioni

Traduzioni di alta qualità in tutte le lingue

Ricerca rapida

Trova i testi che ti servono in pochi secondi