Wanaweweseka - Rayvanny

Wanaweweseka - Rayvanny

Год
2022
Язык
`Swahili`
Длительность
202820

Di seguito il testo della canzone Wanaweweseka , artista - Rayvanny con traduzione

Testo " Wanaweweseka "

Testo originale con traduzione

Wanaweweseka

Rayvanny

Wenye wivu wasijinyonge

Ila wapigwe shoti wafe

King’asti wangu yupo hapa hapa

Usinishike bega niache

Nakupa yote mung’unya utamu wa pipi mate

Babe kwa mapenzi uko chuo

Hauko tena kindergarten

Marashi ya pemba

Amechanganya na tanga

Mtoto kama saida karoli

Anavyochambua karanga…

Na simuachi nampenda ye pete mi chanda…

L.O.V.E. (I love you) kama kassim mganga…

Presha inapanda, presha inashuka

Wanaovimba watapasuka

Nikikupost namba insta patachafuka

Watatamani kuhack waje kufuta hao…

Leleleeeeee

Wanaweweseka hao! (wanakopa bando watuperuzi)

Wanaweweseka hao!

Wanaweweseka hao! (mama nipe mambo, tuwauzi)

Wanaweweseka hao!

Wanaweweseka hao! (basi cheka cheka ukideka deka na mimi)

Wanaweweseka hao!

Ndege, tausi, maringo na tegeeee

Umbo kifusi, nyuma kishindo…

Nikubebeeeee, wenye chuki wakate shingo…

Sitaki rede mi nabunduki na weka lindo…

Udongo gani? ulo kufinyanga mwali wewe

Mganga gani, alopiga manyanga mwali weee…

Majungu si mtaji (ayayayaaa)

Maneno sio radi (ayayayaaa)

Jasho linawatoka maji (I love you daddy)

Marashi ya pemba, amechanganya na tanga

Mtoto kama saida karoli, anavyochambua karanga…

Na simuachi nampenda, ye pete mi chanda…

L.O.V.E. (I love you) kama kassim mganga…

Presha inapanda, presha inashuka

Wanaovimba watapasuka

Nikikupost namba insta patachafuka

Watatamani kuhack waje kufuta hao…

Leleleeeeee

Wanawewesena hao! (wanakopa bando watuperuzi)

Wanaweweseka hao!

Wanaweweseka hao! (mama nipe mambo, tuwauzi)

Wanaweweseka hao!

Wanaweweseka hao! (basi cheka cheka ukideka deka na mimi)

Wanaweweseka hao!

Oltre 2 milioni di testi

Canzoni in diverse lingue

Traduzioni

Traduzioni di alta qualità in tutte le lingue

Ricerca rapida

Trova i testi che ti servono in pochi secondi