Lazizi - Sauti Sol

Lazizi - Sauti Sol

  • Альбом: Mwanzo

  • Anno di rilascio: 2009
  • Lingua: Swahili
  • Durata: 3:52

Di seguito il testo della canzone Lazizi , artista - Sauti Sol con traduzione

Testo " Lazizi "

Testo originale con traduzione

Lazizi

Sauti Sol

Lazizi wangu we

Zawadi nono kutoka mbinguni

Nakuwaza my baby (Nakuwaza my baby)

Nikikuwaza usiku silali

Nikikuona na wengine nashikwa na wivu

Naomba unipe number yako nikuvutie wire

Nikupeleke Java

Tunywe kahawa

Tukizubaa dubaa dubaa

Mukhali wanje we

Shihanwa shyanje khurula khu-nyasaye

Ndakhuyanza my baby (Ndakhuyanza my baby)

Shihanwa shyanje khurula khu-nyasaye

Bridge:

Zunguka zunguzukane

Nikitafuta kama wewe

Mi nafeel so nice

Unanipa mi amani

Mbele Baby

Sioni njia bila wewe

Wewe… eeeh Lazizi

Mazoe manana (Mazoe manana ah)

Kadonangaeuta na lola, Na

Kanisakayo sheri nanga

Soki yo tena nzanga kapongi (Mpenzi)

Oltre 2 milioni di testi

Canzoni in diverse lingue

Traduzioni

Traduzioni di alta qualità in tutte le lingue

Ricerca rapida

Trova i testi che ti servono in pochi secondi